Classy Quote logo
  • Home
  • Categories
  • Authors
  • Topics
  • Who said

Fussiness Quotes

Fussiness quote from classy quote

Mfalme Sulemani alikuwa mtu mwenye hekima kuliko wote ulimwenguni. Anatushauri, “Adui yako akiwa ana njaa, mpe chakula; Tena akiwa ana kiu, mpe maji ya kunywa; Maana utatia makaa ya moto kichwani pake; Na BWANA atakupa thawabu (Mithali 25:21-22). Yesu anasema jambo fulani linalofanana sana na hilo katika mafundisho Yake yaliyofuata (Mathayo 5:44-45). Kitendo cha kutukanwa, kupigwa, kushtakiwa au kulazimishwa kubeba mzigo mzito usio wa kwako kinaweza kusababisha mafutu mabaya kabisa katika asili ya binadamu. Yaani, chuki, hasira, ukatili na hata vurugu. Lakini pale wale waliobarikiwa kuwa na hekima wanapojikuta katika majaribu makubwa kama hayo tabia yao haitakiwi kuwa ya shari, inda au ya kulipiza kisasi. Bali inatakiwa kuwa ya kusaidia, kuwa na ridhaa ya kutenda mambo mema, na kuwa mwema kwa wengine siku zote.

~ Enock Maregesi

Enock Maregesi Adui Adversity Anger Bitterness Blessings Bwana Chakula Chaos Chuki Cruelty Doctrine Embers Enemy Food Fussiness Good Hasira Hatred Heavy Load Hekima Hunger Inda Jesus King Solomon Kisasi Kiu Lord Mafundisho Mafutu Majaribu Maji Makaa Ya Moto Mathayo 5 44 45 Matthew 5 44 45 Mema Mfalme Sulemani Mithali 25 21 22 Mzigo Mzito Njaa Proverbs 25 21 22 Revenge Shari Teachings Thawabu Thirsty Trials Ukatili Vurugu Water Wisdom Yesu
  • Classy Quote

    ClassyQuote has been providing 500000+ famous quotes from 40000+ popular authors to our worldwide community.

  • Other Pages

    • About Us
    • Contact Us
    • Privacy Policy
    • Terms of Use
  • Our Products

    • Chrome Extention
    • Microsoft Edge Add-on
  • Follow Us

    • Facebook
    • Instagram
Copyright © 2025 ClassyQuote. All rights reserved.